me: unafanya mziki wa aina ganii ?
medy: Nafanya mziki aina ya afro pop but licha ya aina hii ya
mziki pia nina uwezo wa kufanya aina mbali mbali ya mziki
me: wewe kama msanii unaechipukia unadhan jambo gan haswa nyie wasanii chipukiz mnkutana nayo?
medy: Jambo gumu kwa sisi upcaming Artist ni upataji Wa management kwaajil ya kusimamia kazi zetu
me :je, umejipangaje kwenye muziki huu wa kisasa?kukaa mda mrefu na kufikia malengo yako?
medy : Nimejipanga kufanya kaz nzur yenye ubunifu zaid ya hii ili niweze kufika mbali zaid
me: unaongeleaje wasanii kutafuta kiki kweny siasa?
meddy: Ni kutokujiamini na kazi zao wanazizozifanya coz siku zote kazi nzur na Juhudi humfikisha mtu mahal.
me : je mashabiki zako watakupataje mtandaoni
medd: instagram natumia medy_molin na Facebook natumia medy molin
No comments: